Search

342 results for Ephrahim Bahemu :

  1. NCBA yazidi kuwekeza dijitali ikirahisisha upatikanaji wa huduma za kifedha

    Kutokana na mabadiliko ya kidijitali yanayoendelea katika sekta mbalimbali, Benki ya NCBA Tanzania imezindua programu mpya ya kibenki iitwayo 'NCBA Now' kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...

  2. Wizara yataka wanawake kugombea kwa wingi uchaguzi ujao

    Tanzania ambayo kwa sasa inaongozwa na Rais mwanamke (Samia Suluhu Hassan) inatarajia kufanya uchaguzi wa Serikali za mitaa mwishoni mwa mwaka huu na uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani...

  3. BoT yatoa neno shilingi kushuka, ikitangaza ongezeko la riba

    Dar es Salaam. Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imepandisha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 iliyotumika katika robo ya kwanza ya mwaka 2024 hadi asilimia sita, ambayo itatumika katika...

  4. Aga Khan Foundation kupanda miti milioni 50

    Katika mpango huo tayari miti zaidi ya 450,000 ya mikoko imepandwa na lengo la sasa ni kupanda walau mikoko 60,000 kwa mwezi.

  5. Wanazuoni wa habari kujadili mustakabali wa sekta hiyo Afrika

    Kongamano litafanyika Agosti 28 hadi 29, 2024 katika ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

  6. Dijitali kuzidi kuongeza matumizi ya bima

    Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (Tira) Dk Baghayo Saqware amesema watumiaji wa huduma za bima nchini wameongezeka kutokana na urahisi ulioletwa na...

  7. Ufadhili, ushirikiano kufanikisha nishati safi kwa wote

    Takwimu za Wizara ya Afya za mwaka 2017 zinaonyesha watu 22,000 hupoteza maisha kila mwaka kutokana na magonjwa ya mfumo wa hewa yanayochangiwa kwa kiasi kikubwa na matumizi ya nishati chafu.

  8. Mfumo benki wafeli, wanafunzi wachota mabilioni

    Hitilafu katika mfumo wa Benki ya Biashara ya Ethiopia umeruhusu wateja kutoa fedha kupita kiasi walichonacho, zaidi ya dola 40 milioni (Sh102.08 bilioni zimechotwa ndani ya siku moja.

  9. Latra: Tofauti za taarifa kero kwenye teksi mtandao

    Changamoto inayolalamikiwa zaidi kwenye huduma ya teksi mtandao ni tofauti ya taarifa za mfumo na uhalisia, Latra na Polisi waeleza.

  10. PRIME Jinsi benki zinavyopigwa mabilioni ya fedha

    Benki Kuu ya Tanzania yabainisha Sh10. 28 bilioni zimeibwa ndani ya mwaka mmoja.

Page 1 of 35

Next